November 4, 2017


Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi anatarajia kupata mtoto wa kiume.

Hii ni baada ya kuwekwa wazi kwa mara ya kwanza kwamba mkewe, Antonela Roccuzzo ana ujauzito wa mtoto wa kiume.

Tayari Messi na Antonela wan a watoto wawili wote wa kiume.


Messi na mkewe walianza uhusiano tokea wakiwa shuleni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic