November 4, 2017


Klabu ya Manchester imeamua kufanya biashara kwa kutumia wazo la jezi yake ya miaka 25 iliyopita.

Manchester United imezindua tena jezi na suti ambazo zilitumika kipindi cha akin David Beckham wakiwa ndiyo wanachipukia na baadaye wakatengeneza majina.

Beckham na wenzake maarufu kama Class of 92 walikutana kuzindua mavazi hayo mapya ambayo yatauzwa na kuiingizia fedha Manchester United.

Waliokutana katika uzinduzi huo ni pamoja na Gary Neville, Phil Neville, Paul Scholes, Nicky Butt na Ryan Giggs.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic