November 19, 2017

CHAMBO (KULIA) AKIWA NA MMOJA WA WACHEZAJI WENZAKE.

Kiungo mshambuliaji Rashid Chambo ,17, amefuzu kucheza kuitumikia timu ya AFC ya Sweden.


AFC ndiyo timu anayofanya majaribio Mtanzania, Said Hamis Ndemla.

Chambo kutoka JKT Ruvu alikwenda kufanya majaribio katika timu hiyo mwezi uliopota na sasa amefuzu.


Pamoja na kufuzu timu ya vijana, kocha amependekeza awe anapewa nafasi katika timu ya wakubwa.

“Kocha kaona ana kipaji, hivyo atakuwa akitumiwa pia na timu ya wakubwa. Lakini timu ya vijana inapokuwa na mechi, basi anakwenda kucheza,” kilieleza chanzo kutoka Sweden.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic