November 3, 2017




Uongozi wa Ruvu Shooting umepanga kujikwamua mkiani mwa Ligi Kuu Bara na umetaka Azam FC kuwaandaalia sherehe.

Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema wana nafasi kubwa ya kushinda mechi yao ya kwanza watakapoivaa Azam FC kwa kuwa wanataka kushinda.

“Tumechoka kukaa mkiani, wachezaji wamechoka na kesho dhidi ya Azam FC, tutainuka.

“Nimueleza ndugu yangu Jaffar Iddi watuandalie sherehe wakati tunasherekea ushindi wetu,” alisema.


Ndanda FC hadi sasa iko mkiani ikiwa na pointi 5 tu na haijashinda hata mechi moja baada ya kukusanya pointi zote kwa sare tano walizopata na kupoteza mechi tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic