November 4, 2017



Washindi waliopatikana katika shindano la SHINDA NA SPORTPESA sasa wamefikia watu 9 kati ya 100.


Ephairm  Alexander Kisona wa Ludewa mkoani Njombe ndiye amekuwa mtu wa tisa kushinda Bajaj.

Shindano hilo linaendeshwa na kampuni kubwa zaidi ya michezo ya kubashiri nchini ya Sportpesa Tanzania ambayo imeamua kurudisha inachopata kwa wateja wanaoshiriki kubashiri.

Hadi sasa ni Bajaj 9 ambazo zimetolewa kwa washindi, maana yake zimebaki Bajaj 91 zinazowaniwa.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic