November 30, 2017



Cecafa mfukoni mwa Musonye imepoteza mvuto

KUMEKUWA na maandalizi makubwa kuhusiana na michuano ya Cecafa ambayo imepangwa kufanyika nchini Kenya.

Michuano hiyo inaanza…… katika makundi mawili na inaonekana Zanzibar na Tanzania Bara wamejiandaa vilivyo kuhakikisha wanafanya vizuri.

Ukitulia utasikia kuhusiana na michuano hiyo, kila upande ukizungumzia maandalizi na kujigamba kufanya vizuri ndani ya michuano hiyo.



Kikosi cha Simba sasa kitaanza mazoezi Jumatatu.

Awali, ilipangwa Simba warejee mazoezini kesho Ijumaa baada ya kuwa wamepewa mapumziko mafupi.

Lakini taarifa za ndani kutoka Simba, imeelezwa kwamba mazoezi sasa yataanza tena Jumatatu.


“Mazoezi yataanza Jumatatu na wachezaji wote wametaarifiwa kuhusiana na mabadiliko. Hasa wale ambao hawako katika michuano ya Cecafa,” kilieleza chanzo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic