November 11, 2017


Simba imeshinda kwa mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Rukwa FC.

Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mandela mjini Sumbawanga, mabao yote matatu ya Simba yamefungwa na Juma Liuzio.

Liuzio alianza kutupia bao la kwanza katika dakika ya 21 baada ya Rukwa kupata bao katika dakika ya 19 kupitia Adam Matongwa.

Kipindi cha pili, Liuzio alipiga bao jingine dakika ya 47 kabla ya kupiga la tatu dakika ya 87.

KIKOSI
1. Emmanuel Mseja 
2. Ally Shomari
3. Jamal Mwambeleko
4. James Kotei
5. Yusuph Mlipili
6. Mwinyi Kazimoto
7. Jamal Mnyate
8. Mzamiru Yassin
9. Laudit Mavugo
10. Haruna Niyonzima 
11. Mohamed Ibrahim "MO"

Sub;
Ally Salim
Mohamed Hussein "Tshabalala"
Nicholas Gyan
Juma Luizio








2 COMMENTS:

  1. I doubt hii taarifa ina kasoro. Luizio hajaanza halafu kafunga yote. Au substitution ilifanywa dk ya 19?

    ReplyDelete
  2. Goli la kwanza lilifungwa na Mo Ibrahim dk ya 21. Hiyo hat trick ya Liuzio imetoka wapi? Au siku hizi hat trick ni magoli mawili?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic