November 16, 2017



Pamoja na kuwepo kwa hofu ya kiungo nyota wa Yanga, Papy Tshishimbi kuwa anaweza kukosa mechi kadhaa za Ligi Kuu Bara, taarifa za uhakika zinaeleza anaeza kurejea mazoezini ndani ya siku mbili.

Imeelezwa Tshishimbi ni mgonjwa na kinachomsumbua ni ugonjwa wa malaria.

"Hali yake imeimarika sana, alikuwa anaumwa malaria tu lakini sasa anaweza kuanza mazoezi," kilieleza chanzo.

Kumekuwa na taarifa nyingi kuhusiana na Tshishimbi raia wa DRC na nyingi zimekuwa zikinakinzana.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic