December 14, 2017


AC Milan chino ya Kocha Gennaro Gatuso imeanza kuonyesha cheche baada ya kuitwanga Hellas Verona kwa mabao 3-0 katika mechi ya Kombe la Italia.


Mabao ya Suso, Alessio Romagnoli na Patrick Cutrone yameifanya AC Milan maarufu kama Rossoneri kuingia robo fainali ya Kombe la Italia.

Gatuso amepewa kikosi cha AC Milan lakini wengi wamekuwa na hofu naye kutokana na ukali au ukorofi wake.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic