December 30, 2017





Kikosi cha Simba kimeingia kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara kwa miguu huku wakiliacha basi lao likiingia na wachezaji wawili tu uwanjani ambao ni  Ally Shomari na kijana aliyepandishwa Kelvin Faru.


Wachezaji wengine walitumia geti kuingia uwanjani lakini wachezaji wa Ndanda FC walibaki kwenye basi lao kama kawaida na wakafanikiwa kuingia uwanjani na kupokelewa kwa mbwembwe na mashabiki wao.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic