Kipa wa Simba, Said Mohamed ameanza mazoezi mepesi katika gym.
Said maarufu kama Nduda amekuwa majeruhi kwa zaidi ya miezi miwili na Simba ilimpeleka kwenda kutibia nchini India ambako alifanyia upasuaji wa goti.
Sasa Nduda ameanza mazoezi mepesi akiendesha baiskeli gym ikiwa ni sehemu ya kujiimarisha.
0 COMMENTS:
Post a Comment