Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Polisi Kilwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara.
Wakati Simba inajifua, mshambuliaji wake mpya, Dayo Domingues hajaonekana mazoezi licha ya kwamba kulikuwa na taarifa kwamba angeanza.
Taarifa zinaeleza Dayo aliyetokea Ferreviario ya Msumbiji ameshindwa kuanza mazoezi kwa kuwa kuna mambo ya kiingozi yanashughulikiwa.
Simba inaendelea kushughulikia suala la usajili kutokana na kuwa na matatizo katika mtandao wa TMS.
0 COMMENTS:
Post a Comment