December 28, 2017



Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kuivaa Mbao FC Jumapili jijini Mwanza.

Yanga walifanya mazoezi mepesi na inaonekana kesho watafanya mazoezi yao ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic