December 28, 2017


Klabu ya Mbao FC ya Mwanza imeingia mkataba na kampuni ya Hawaii kupitia bidhaa yake ya Cowbell.

Cowbell itakuwa kifuani mwa jezi za Mbao FC na utakuwa ni wa msimu mmoja na nusu.

Thamani yake imeelezwa kuwa itakuwa ni  Sh milioni 100 kwa ujumla.

Mgawanyo utakuwa hivi Sh milioni 70 watapewa taslimu na Sh milioni 30 watatumia kununua vifaa.


Mbao inajianda kuwavaa Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic