Mechi ya kirafiki leo Ijumaa Simba wameshinda mabao 4-0 dhidi ya African Lyon iliyo Daraja la Kwanza (FDL) kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Mabao ya Simba yamefungwa na John Bocco aliyefunga mawili, Moses Kitandu na Kelvin Faru, vijana wa kikosi cha pili.
amewahi
0 COMMENTS:
Post a Comment