January 24, 2018


 Kocha Pierre Lechantre raia wa Ufaransa, ameanza kazi yake ya kuiona Simba ambayo sasa iko kileleni mwa Ligi Kuu Bara.

Mazoezi ya Simba jioni hii yanafanyika kwenye Uwanja wa Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam.

Lechentre anasaidiwa na makocha wengine wawili ambao ni Masoud Djuma raia wa Burundi pamoja na Mohamed Habibi kutoka Tunisia ambaye amejiunga na Simba akiwa pamoja na Lechantre.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic