January 24, 2018



Kocha mpya wa Simba, Pierre Lechantre rasmi ameanza kazi ya kukinoa kikosi chake.

Lechantre raia wa Ufaransa ameanza kazi rasmi kwenye Uwanja wa Bandari jijini Dar es Salaam ambako Simba inajifua jioni hii.


Akishirikiana na msaidizi wake, Lechantre ameanza mazoezi hayo ikiwa ni mara ya kwanza tokea amejiunga na timu hiyo.

Katika mazoezi hayo, Lechantre alikuwa anasaidiana na wasaidizi wake wawili, ...Mohammed Habibi raia wa Tunisia ambaye amekuja naye pamoja na Masoud Djuma raia wa Burundi ambaye alikuwa kocha mkuu wa muda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic