January 4, 2018





Kocha Pep Guardiola analazimika kusajili mshambuliaji mmoja baada ya kuumia kwa Gabriel Jesus raia wa Brazil.

Inaonekana Pep, anamtaka Alexis Sanches kutoka Arsenal na tayari ametenga pauni milioni 35.

Jesus atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita, jambo ambalo linamlazimisha Pep kuhakikisha anakuwa na mbadala.


Hata hivyo, swali limekuwa ni kuhusiana na kama kweli Arsenal, itakubali kumuachia mshambuliaji huyo raia wa Chile.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic