Nyota wa zamani wa FC Barcelona, Ronaldinho ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 37.
Ronaldinho amestaafu badaa ya wakala wake kutangaza uamuzi huo.
Roberto de Assis Moreira ni kaka wa Ronaldinho ambaye siku chache zilizopita ilikuwa ni sherehe yake ya siku ya kuzaliwa.
Uamuzi huo wa Ronaldinho unahitimisha safari yake ya soka la kulipwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment