January 24, 2018


Wayne Rooney ameamua kuuza gari lake aina ya BMW linalotumia umeme.
Rooney amefikia uamuzi huo baada ya kufungiwa kuendesha gari baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa.

Rooney mwenye umri wa miaka 32, ameamua kuliuliza gari lake hilo la kifahari linalotumia umeme kwa thamani ya pauni 55,000.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic