January 5, 2018



Pamoja na kwamba wengi waliamini Yanga itakutana na Mbao FC katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, mambo yamekwenda tofauti baadaya Yanga kupangiwa Ihefu FC katika raundi ya tatu.

Wakati Yanga inacheza na Ihefu, vigogo wengine Azam FC wao watakutana na timu ya Shupavu F na Kagera Sugar wao watakuwa dhidi ya Busesere FC ya mkoani Geita.


Mbao FC wanakwenda kucheza dhidi ya Karianoo Lindi huku Mtibwa Sugar wakikutana na Majimaji Rangers. Tanzania Prisons watakuwa na kazi dhidi ya timu ngumu ya Burkina Fasso ya Morogoro na Mwadui FC watawavaa Dodoma FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic