January 23, 2018

Rais mpya George Weah ameapishwa rasmi jana baada ya ushindi wake.

Weah ambaye ni mchezaji mweusi pekee kuwa mwanasoka bora wa dunia ameshinda kuwa rais wa Liberia.

Weah mwenye umri wa miaka 47, aliapishwa jijini Monrovia na wageni kadhaa walihudhuria kutoka nchi mbalimbali.

Angalia picha akiapishwa…





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic