January 17, 2018


Hatimaye nyota wa Arsenal kitambo, Theo Walcott ametua na kujiunga na klabu ya Everton FC ya jijini Liverpool.

Arsenal imepokea kitita cha pauni million 25 kwa wing huyo mwenye miaka 28 ambaye amekaa Arsenal kwa miaka 12.


Walcott ameichezea Everton takribani mechi 400 katika mashindano yote na sasa atakuwa akipokea mshahara wa pauni 110,000 kwa wiki.


Huyu anakuwa mchezaji wa pili kununuliwa na boss wa Everton, Sam Allardyce baada ya kuanza kumsajili mshambuliaji Cenk Tosun kutoka Uturuki kwa pauni 27 milioni


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic