January 24, 2018



Kikosi cha Yanga leo kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya hatua ya kujiandaa na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC utakaochezwa Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Azam Complex uliyopo Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar.

Yanga walijifua na kikosi chao kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic