January 24, 2018




Pamoja na kuendelea na maandalizi yao kabla ya kuivaa Azam FC kwa umakini mkubwa, Yanga wameanza kambi.

Kikosi cha Yanga kimeanza kambi yake rasmi jijini Dar es Salaam mahsusi kabisa kwa ajili ya mchezo wao huo wa Jumamosi dhidi ya Azam FC.

Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara itachezwa kuanzia Saa 1 Usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Yanga wanaujua umhimu wa mchezo huo na tayari wameanza kambi hiyo kujiandaa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic