KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MAJIMAJI FC, MWINYI HAJI, ROSTAND WAREJEA
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Majimaji FC, mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea.
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3.Mwinyi Haji
4. Said Juma
5. Kelvin Yondan
6. Pato Ngonyani
7. Emmanuel Martin
8. Papy Kabamba
9. Pius Buswita
10. Raphael Daud
11. Ibrahim Ajib
Kikosi cha akiba
12. Ramadhan Kabwili
13. Juma Abdul
14. Maka Edward
15. Yussuf Mhilu
16. Barua Yahya
17. Said Mussa
18. Geoffrey Mwashiuya
0 COMMENTS:
Post a Comment