LICHA YA KICHAPO, ARSENAL YAINGIA 16 BORA EUROPA LEAGUE Licha ya kupoteza, Arsenal imesonga mbele katika UEFA Europa League baada ya kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Ostersund FC kutoka Sweden. Ushindi wa Ostersund haukuwa na maana, baada ya Arsenal kufanikiwa kuwa na aggregate ya 4-2 baada ya mchezo wa awali kufungwa mabao 3-0. Kwa matokeo haya sasa Arsenal imesonga mbele mpaka hatua ya 16 bora.
0 COMMENTS:
Post a Comment