February 3, 2018


Alexis Sanchez ameifungia Man United bao lake la kwanza katika Ligi kuu England au EPL.

Sanchez ambaye amejiunga na timu hiyo akitokea Arsenal, amefunga bao la pili Man United ikishinda 2-0 dhidi ya Brighton.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Old Trafford, bao la kwanza la Man United lilifungwa na Romelu Lukaku.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic