Pamoja na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi RB Leipzig ya Ujerumani, Napoli imeng’olewa katika michuano ya Europa.
Mabao ya Piotr Zielinski na Lorenzo yameipa ushindi Napoli lakini imeng’oka katakana na kipigo cha mabao 3-1 ilichokipata ikiwa nyumbani Italia.
Hivyo ushindi wa mabao 2-0 genii, haujaisaidia timu hiyo ya Italia kusonga mbele.
0 COMMENTS:
Post a Comment