February 25, 2018


Nyota wa PSG ya Ufaransa, Neyma Junior (26) ameitaka klabu ya Real Madrid kumlipa pesa ndefu zaidi ya Mreno, Cristiano Ronaldo, ili aweze kujiunga na timu hiyo. Inaelezwa kauli hii imekuja kufatia uvumi mkubwa wa Neymar kurejea tena La Liga. Sunday Express.

taarifa zinaeleza pia kiungo wa Manchester United, Paul Pogba, anaweza akaachana na timu hiyo muda wowote, endapo Jose Mourinho ataendelea kusalia kuwa Kocha wa timu hiyo. Sun Sunday.

Mlinda mlango wa Manchester United na timu taifa ya Spain, David de Gea, ameitaka klabu hiyo kumlipa mshahara wa kiasi cha £505,000 kwa wiki, endapo ataongeza mkataba mpya. Sun Sunday.

Kiungo wa Watford, Abdoulaye Doucoure (25), amesema anazikikaribisha Liverpool na Arsenal mezani ili wafanye mazungumzo ya kumsaini, kutokana na taarifa za uhitaji wake ndani ya timu hizo mbili. Metro



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic