Messi amefikisha idadi hiyo kutokana na mabao aliyofunga kwenye dakika ya 3 na 63, Barcelona ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhdi ya Chelsea.
Licha ya idadi hiyo ya mabao, Messi amefikisha idadi ya mechi 123 kwenye michuano hiyo akiwa ameachwa na mpinzani wake, Cristiano Ronaldo, michezo 14 huku ambaye amecheza mechi 137.
Ushindi wa Barcelona, umeifanya iungane na timu za Real Madrid, Liverpool, Juventus, Manchester City, Sevilla, Roma na Bayern Munich ambayo imeingia hatua jana kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Besiktas.










0 COMMENTS:
Post a Comment