Na George Mganga
Kuelekea mechi ya kesho kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana katika mchezo wa Ligi Ya Mabingwa Afrika, Kocha Nikola Kavazovic, amesema analijua soka la Afrika.
Kavazovic amesema amekuwa akilifuatilia vizuri soka la Afrika, na timu yake ipo tayari kupambana na wapinzani katika mchezo wa kesho.
Licha ya kulijua soka la Afrika, Kavazovic, amesema amekuwa akiifuatilia pia Yanga katika michezo mbalimbali ya kimataifa iliyocheza, huku akieleza ameshaitazama ikicheza miwili ya nyumbani na miwili ya ugenini.
Licha ya kuifuatilia Yanga, Kavazovic
Township Rollers itacheza mchezo wa kesho baada ya kuwaondoa Al Merrikh katika mchezo uliopita.
0 COMMENTS:
Post a Comment