March 29, 2018


Ikiwa ni siku takribani nne tangu arejee mazoezini kujiunga na kikosi cha Simba baada ya kupona majeraha yake, beki Salim Mbonde, amesikitishwa kuumia kuumia kwa Jonas Mkude.

Mkude aliumia kifundo cha mguu wa kulia "Ankle' wakati akiwania mpira na kiungo Mzamiru Yassin, kwenye Uwanja wa Boko Veterani.

Mbonde amesema anajisikia vibaya kuumia kwa Mkude huku akimtakia kheri ya kupona haraka ili arejee mazoezini kujiunga tena na wenzake.

Mpaka sasa taarifa zinaelezwa kuwa hali ya mchezaji huyo inaendelea vizuri na kuna uwezekano akarejea tena kuanza mazoezi wiki hii.

CHANZO: RADIO ONE

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic