March 13, 2018


Kuelekea harakati za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2017/18, hizi ni mechi 9 zilizosalia kwa Yanga kumaliza mzunguko huu wa pili.

Mtibwa Sugar (Ugenini)
Simba SC (Ugenini)
Singida United (Nyumbani)
Mbeya City (Ugenini)
Tanzania Prisons (Ugenini)
Mbao FC (Nyumbani)
Mwadui FC (Ugenini)
Ruvu Shooting FC (Nyumbani) na
Azam FC (Nyumbani)




1 COMMENTS:

  1. Yanga watashinda 5 na kutoka sare mechi 2 mechi 2 watafungwa. Huu ni utabiri tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic