March 14, 2018




Mtanzania Ismail Mgunda ametua katika timu kongwe ya Afrika Kusini.

Jomo Cosmos inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na Mgunda amesaini mwaka mmoja.

Kabla, Mgunda alikuwa akikipiga katika klabu ya Ligi Kuu nchini Botswana ya Giraport Lions.

“Nimesaini mwaka mmoja na tayari nimeanza mazoezi na Cosmo,” alisema Mgunda kutoka nchini Afrika Kusini.
Cosmo inamilikiwa na mmoja wa matajiri weusi wa Afrika Kusini, Jomo Sono na ni moja ya timu kongwe.

Mtanzania huyo aliwahi kukipiga Coastal Union ya Tanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic