Kikosi cha Simba tayari kipo Uwanja wa JK Nyerere hivi sasa kuanza safari ya kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry SC,
Mchezo huo utapigwa Machi 17 2018 ukiwa ni wa marudiano baada ya timu hizo kwenda sare ya mabao 2-2 jijini Dar es Salaam.
Wanaoondoka ni
1. Said Mohamed Nduda
2. Aishi Manula
3. Shomari Kapombe
4-Mohamed Hussein
5. Asante Kwasi
6. Juuko Murushid
7. Yussuf Mlipili
8. Erasto Nyoni
9. Paul Bukaba
10. Jonas Mkude
11. James Kotei
12. Said Ndemla
13. Muzamiru Yassin
14-Mwinyi Kazimoto
15. Shiza Kichuya
16. John Bocco
17. Emmanuel Okwi
18. Nicholaus Gyan
19. Laudit Mavugo
20. Juma Luizio
2. Aishi Manula
3. Shomari Kapombe
4-Mohamed Hussein
5. Asante Kwasi
6. Juuko Murushid
7. Yussuf Mlipili
8. Erasto Nyoni
9. Paul Bukaba
10. Jonas Mkude
11. James Kotei
12. Said Ndemla
13. Muzamiru Yassin
14-Mwinyi Kazimoto
15. Shiza Kichuya
16. John Bocco
17. Emmanuel Okwi
18. Nicholaus Gyan
19. Laudit Mavugo
20. Juma Luizio
Kocha Mkuu - Pierre Lechantre
Kocha Msaidizi - Masoud Djuma
Kocha wa Viungo - Mohammed Aymen
kocha wa Makipa - Muharami Mohammed
Docta wa Timu - Yassin Gembe
Meneja wa Timu - Richard Robert
Mtunza Vifaa - Yassin Mtambo
Kocha Msaidizi - Masoud Djuma
Kocha wa Viungo - Mohammed Aymen
kocha wa Makipa - Muharami Mohammed
Docta wa Timu - Yassin Gembe
Meneja wa Timu - Richard Robert
Mtunza Vifaa - Yassin Mtambo








Kila la heri Simba kwenye mechi yenu ya Jumamosi
ReplyDeletemungu ibariki Tanzania ibariki na club simba sc yenye historia nzuri ktk michuano mikubwa barani africa.
ReplyDelete