March 20, 2018



Kikosi cha Taifa Stars kimewasili salama Algiers, Algeria na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Omar Yusuph Mzee.

Taifa Stars itakuwa na mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria Machi 22 2018.

Mara ya mwisho Stars kucheza na Algeria ilikuwa ni Novemba 18 2015 ambapo Tanzania ilikubali kulala kwa mabao 7-0, mchezo ukiwa wa kufuzu kuelekea michuano ya Kombe la Dunia 2018 huko Urusi.

Raundi hii Taifa Stars itakutana tena na Waarabu hai ikiwa ni katika mchezo wa kirafiki


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic