TOWNSHIP ROLLERS WAWASILI NCHINI, TAYARI KUWAVAA YANGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Na George Mganga
Vinara wa Ligi ya Botswana, Township Rollers wamewasili nchini majira ya mchana wa leo kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga.
Township Rollers wamewasili wakiwa na kumbukumbu ya kusonga mbele kufuatia kuwaondoa AL Merrikh kwa mabao 4-2.
Mchezo dhidi ya Yanga utapigwa Machi 6 2018 katika Uwanja wa Taifa, kuanzia saa 10:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment