Na George Mganga
Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza viingilio vitakavyotumika katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers kutoka Botswana.
Viiingilio vya mechi hiyo vitakuwa kama ifuatavyo;-
VIP A - 20,000/=
VIP B & C - 10,000/=
Mzunguko - 5,000/=
Mechi hiyo itachezwa Jumanne ya Machi 6 2018 katika uwanja wa taifa, kuanzia saa 10:30 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment