UONGOZI SINGIDA UNITED WATOA PONGEZI KWA WACHEZAJI HAWA KUITWA TIMU YA TAIFA CHINI YA MIAKA ISHIRINI
Na George Mganga
Uongozi wa klabu ya Singida United umetoa pongezi kwa wachezaji wao kuitwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa chini ya miaka.
Wachezaji hao wameitwa kwa ajili ya kujiunga na timu ya taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu kuelekea AFCON (U20) mwaka 2019.
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, Singida United wamethibitisha taarifa hii.
0 COMMENTS:
Post a Comment