BREAKING NEWS: MASAU BWIRE AFIWA NA MAMA YAKE
Na George Mganga
Taarifa ambazo zimeifika Blog ya Saleh Jembe hivi punde ni kuhusiana na kifo cha mama mzazi wa Afisa Habari wa Ruvu Shooting FC, Masau Bwire.
Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusiana na taarifa za msiba huu.
R.I.P Mama yetu mpendwa.
ReplyDelete