April 22, 2018



FC. Barcelona imeutwaa ubingwa wa Kombe la Mfalme nchini Spain kwa kuitandika Sevilla jumla ya mabao 5-0.

Mabao ya Barcelona yamefungwa na Messi, Luis Suarez aliyefunga mawili, Andres Iniesta na Phillipe Coutinho aliyefungwa kwa penati.



Kombe hilo la Mfalme limekuwa la mwisho kwa Iniesta ambaye ataondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu.

Kiungo huyo mwenye heshima kubwa Camp Nou amefikisha taji lake la 31 katika maisha yake ya soka akiwa na Wacatalunya hao huku Kombe la Mfalme likiwa ni la 30 kwa timu hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic