April 22, 2018



Manchester United imetinga fainali ya Kombe la FA kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Wembley.

United imejipatia mabao yake kupitia kwa Alexis Sanchez na Ander Herrera huku Tottenham ikijipatia bao kupitia kwa Delle Ali.

United inasubiri mshindi kati ya Chelsea na Southampton ambao watakutana leo Jumapili.

Mshindi wa pambano hilo ataungana na mashetani hao wekundu waliotinga fainali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic