LIVERPOOL YAVUTWA MKIA NA WABABE WA UNITED, SALAH KAMA KAWA ATUPIA
Kikosi cha Liverpool kimekubali kwenda sare ya mabao 2-2 dhidi ya West Bromwich ugenini kwenye dimba la The Hawthorns katika mchezo wa Ligi Kuu England.
Katika mchezo huo, Liverpool imejipatia mabao yake kupitia Ings na Mohamed Salaha, huku West Brom ikicheka na nyavu kupitia kwa Livermore na Rondon.
0 COMMENTS:
Post a Comment