April 10, 2018



Uongozi wa klabu ya Liverpool umekanusha taarifa za kutaka kumsajili kiungo wa Manchester United, Mbelgiji, Marouane Fellaini.

kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa zinazomhusisha Fellaini kujiunga na Manchester United lakini inaelezwa kuwa Liverpool hawana mpango naye.

Licha ya uvumi huo, Kocha Jose Mourinho aliwahi kusema kuwa ataachana na kiungo huyo baada ya msimu kumalizika ili akatafute sehemu nyingine ya kucheza.

Fellaini alijiunga na Manchester United wakati David Moyes akiwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho akitokea Everton FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic