April 2, 2018



Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa wakali wa Bongo Movies, hii ni kutokana na tuzo zilizokuwa zikiwaniwa kwa muda mrefu za ‘Sinema Zetu International Film Festival’ zilizoandaliwa na Azam Tv, kufikia tamati huku wasanii mbalimbali wa filamu pamoja na viongozi walijitokeza katika Ukumbi wa Mlimani City, kwa ajili ya kushuhudia nani ataibuka kidedea na kujinyakulia tuzo katika vipengele tofauti tofauti.













 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic