April 19, 2018



Nyota wa Real Madrid jana aliendelea kudhihirisha ubora wake wa kazi Uwanjani baada ya kuiokoa timu yake kupoteza alama tatu muhimu dhidi ya Athletic Bilbao kwenye La Liga.

Madrid ilianza kuchapwa mapema tu mnamo dakika ya 14 na Inak Williams kabla ya Ronaldo kusawazisha zikiwa zimesalia dakika 6 mpira kumalizika.

Sare hiyo imeifanya Madrid kuweka utofauti wa pointi 11 baina yao na Barcelona walio juu kwenye kilele cha msimamo wa ligi wakiwa na alama 83.

Atletico Madrid wao wamekamata nafasi ya pili wakiwa na pointi 71.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic