SALEH JEMBE KUKULETEA UPDATES ZA LEO, SIMBA VS YANGA
Kama ilivyo ada, Blog ya Saleh Jembe itakuleleta moja kwa moja kila kitakachokuwa kinajiri katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika mchezo wa watani wa jadi kati Simba Sc dhidi ya Yanga, kuanzia saa kumi kamili jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment