April 20, 2018



Kikosi cha Yanga kimewasili usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam kikitokea Ethiopia majira ya saa 7 na kupokelewa na baadhi ya mashabiki hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere.

Yanga ilisafiri kwenda Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Africa dhidi ya Wolaita Dicha SC.

Watazame Yanga walivyotua Uwanja wa Ndege leo hapa


2 COMMENTS:

  1. Wametoka kufungwa lakini bado washeherekea. Jee wachezaji watapewa maruputupu kama walivoahidiwa na mishahara yao ya zaidi ya miezi mitatu watalipwa au watapigwa danadana?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic