April 7, 2018


Yanga imeitwanga Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho kuwania kucheza Kombe la Makundi.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Raphael Daud na Emmanuel Martin, moja kila kipindi cha kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic